
Picha inaonyesha jinsi watu wanavyokimbilia kutoka ndani ya Pantoni kuwahi katika shughuli zao za kila siku jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao. Wanzania ni vyema tukajali maisha yetu maana yana thamani kuliko kazi mnazokimbilia.
Shukrani mdau Noel Mwakalindile.
0 comments:
Post a Comment