Meaning tulihitimu,tukiwa na almost miaka 13 hadi 14
Sekondari,mpaka form IV miaka 17 hadi 18. . .mpaka form VI,miaka 19 au 20
Elimu ya Juu,tumehitimu tukiwa na almost miaka 24 mpaka 25
Kutafuta ajira,walau mwaka mzima hadi miwili, so ki umri, unaanza kazi kati ya miaka 27,hadi 28
Kwa mujibu wa sheria,umri wa kustaafu, ni miaka 60 kiserikali. So utafanya kazi,kwa miaka isiyozidi 32
Tumefundishwa,kwamba samaki mkunje angali m'bichi
Wazazi wetu,walianza kukunjwa,wakiwa sanjari na tulivyo sisi leo 60yrs, wanapewa "Kiinua Mgongo" meaning, wanainuliwa, kutoka ktk kukunjwa ambako walikunjwa tangu wangali wabichi
Nini kitatokea sasa wanapoinuliwa wakiwa wamekauka?
Imagine kama mshahara wako(take home)ni 500,000
Inamaanisha utakuwa umelipwa jumla, ya Mil 192,000,000 ktk kipindi chote cha ajira yako
Hata take home yako ikiwa 1,000,000 hizo ni jumla ya Mil 318,000,000 (1,000,000 x 12 x 32)
Ukilipwa Pension ya walau 10% ya mapato yako yote, hizi zitakuwa takriban Mil 19,200,000 ama 31,800,000
Hata Pension wise ukilipwa 20%,hizo ni Mil 38 au 76 tu
Na unazipigia hesabu leo 2015,kwamba ndizo unazozisubiri, 32 yrs to come
What will be its "value for money" by then,32yrs frm nw?
Economy Flactuations je?
Utajenga kweli? Utanunua viwanja?
Watoto je? Utapeleka Universities?
Au mpango wako wa mwisho ni kula rushwa na kupiga "mabao" ofisini ili kujisogeza sogeza mwisho wa mwezi?
Je! ungependa kuufanyia kazi mpango kazi utakao kufikisha kwenye kiwango cha pension yako ktk miaka 3/
TAFAKARI..CHUKUA HATUA!
0 comments:
Post a Comment