SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, May 20, 2015

SELCOM yawezesha malipo ya pango ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa njia ya mtandao

DSC_1723
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi za majengo ya NHC. 
DSC_1732
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akielezea kwa waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na akaunti za Benki inavyofanya kazi.
DSC_1744
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania, Sameer Hirji akimuonyesha risiti za malipo ya pango za nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa malipo kwa njia ya mtandao wa Selcom.

0 comments:

Post a Comment