SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, February 6, 2015

HUU NDIO UKWELI ULIOGUNDULIKA KUHUSU BIASHARA YA MTANDAO



Haya ndiyo majibu yaliyotoka kwa wadau wanaofanya biashara hii kwa hapa Tanzania ambayo ina ofisi zake mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Arusha,Mbeya na Dodoma..kwa mwandishi wa Blogu hii'';



KWA NINI UFANYE HIVI? SOMA KWA MAKINI

Umeshafanya Utafiti huu?
Ukifanya kazi miaka 60 = Utapata Pensheni ya Tsh 100,000,000/=
Lakini ndoto zako ni kupata milioni 100 kabla ya umri huo...

Maana yake utafanikiwa kuapata 100,000,000/= muda ambao utakuwa hauna uwezo wa ku enjoy life style yako,Ukiajiriwa miaka 60,maana yake kuna miaka 6 itapotea bila wewe kuzalisha chochote,..Suluhisho:Ukifanya biashara ya Mtandao ya FLP unaweza kupata 100,000,000/= ndani ya miaka 4 au 5 tu..je umeshajiuliza kivipi?Hii ni biashara inayohusika na usambazaji wa bidhaa za kimarekani ambazo zinahusika sana ktk urutubishaji miili yetu Mfano Nguvu za Kiume,Mayai ya wanawake,Sabuni,Vipodozi aina zote,Asali,Sabuni,Kupunguza/Kuongeza unene,Kisukari,Presha,Vidonda vya tumbo n.k.na bidhaa zote hizi zinatengenezwa kw mmea wa Aloe Vera,Hadi sasa watanzania 6,000/= wameiona Fursa hii,jiulize je ktk Tanzania yenye Milioni 43,hao si watu wachache sana wameona hii fursa?Jiulize wakifika hata 20,000 tu wewe si utakuwa tayari umetimiza ndoto zako?Kipato na Faida ktk Fursa hii kinapatikana kwa njia zifuatazo:-

Utaweza kutumia Bidhaa za kampuni hii ambazo ni namba moja duniani kwa bei ya jumla.

Ni biashara ambayo waweza kumrithisha mwanao,mkeo au mumeo hata ukiwa haupo kwa namba yako ile ile ya usajili,ndiyo Maana Inaitwa Forever Living Business maana yake haifi.

Kila atakayeanza biashara chini yako kwa bidhaa za Tsh.800,000/= Utapata 150,000/=

Kila atakayeanza biashara chini yako kwa bidhaa za Tsh.400,000/= Utapata 75,000/=

Kila atakayeanza biashara chini yako kila atakachofanya(Mauzo) wewe utapata gawio la 5% ya Faida yake ktk maisha yako yote.

Kishafika Kiwango cha meneja,utaweza kusafiri duniani kote kwa kulipiwa gharama zote na kampuni hii ambayo kwa sasa ni namba 6 kwa biashara ya Mtandao (Network Marketing) Duniani.

Jiulize,Je una uwezo wa kusafiri mara ngapi na familia yako kama mapumziko?je una vipato vingapi vya ziada?je hiyo kazi yako unayoifanya lini itaweza kutimiza ndoto za maisha yako?Karibu Forever Living Utimize Ndosto zako kwa kujiingizia kipato endelevu..Pia kwa sasa vijana wengi wamesoma na ajira hakuna,je tunaweza kuajiriwa wote kweli?njoo jiajiri uone raha ya kuwa bosi wa maisha yako kupitia Forever Living...

Siyo Lazima uwe na Mtaji wa Tsh 400,000/= au 800,000/= tu,hata kama una mtaji kuanzia Tsh 105,000 na unataka kujikwamua na janga la kushindwa kufikia Malengo yako tutafute kwa simu namba +255 783 149 561..
Karibu sana tufanikiwe pamoja.

Allysham's blog inawashauri watu wote kujipima na kuona jinsi gani wanaweza kujikwamua kimaisha kwani pia kwa sasa wimbi la ukosefu wa ajira ni kubwa sana hii yaweza kuwa njia mojawapo ya kujiajiri na kujiingizia kipato.

0 comments:

Post a Comment