Meneja
wa Ghetto Radio ya Sibuka FM 94.5 Bw. Edward Rukaka aliyeshika
Mkasi,(pichani chini) akiizindua rasmi Studio hiyo na kuitambulisha kwa
wadau. kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati nasibu Tanzania Bw. Abbas
Tarimba akishuhudia uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Ghetto Radio
Kenya Bw. Majimaji akizungumza wakati wa usiku wa kuzindua Rasmi Studio
ya Kurushia matangazo ya Radio ya Ghetto Radio ya Sibuka FM Nchini
Tanzania hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Sibuka George
Nangali kulia akiwa na Mkurugenzi wa Ghetto Radio Matt Brouwer wakati
wa Sherehe fupi za uzinduzi wa Studio hiyo iliyopo mtaa wa Hananasifu
Kinondoni.
Katikati ni Balozi wa Ghetto Radio ya Sibuka FM Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi
wa kituo cha afya cha Iran Nchini Tanzania Dkt. Farhad Arjomandi
akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mtangazaji maarufu wa Ghetto
Radio ya Sibuka FM Basil Jonas juu ya Studio hiyo.
Dj
Bling Kutoka Ghetto Radio ya Kenya akielezea uzoefu wake katika … Ku
mix Mix Ngoma mbalimbali ambazo zinagusa kila rika la wasikilizaji..
Wadau mbalimbali wakiwa katika Sherehe hiyo ya Uzinduzi wa Studio za Ghetto Radio ya Sibuka Fm.
Kulia
ni Bw. Kelvin Guninita mfanyakazi wa Sibuka Media akiwa katika sherehe
hizo za uzinduzi wa studio za Ghetto Radio ya Sibuka Fm.
Meneja wa Ghetto radio Tanzania Bwana Edward Rukaka akiwaonesha wageni waalikwa sehemu mbalimbali za studio hiyo.
Wadau mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kituo hicho cha Radio Bw. Edward Rukaka jinsi shughuli zinavyofanyika ndani ya studio hizo za Ghetto Radio.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa Bwana Abbas Tarimba akimsikiliza kwa
makini Meneja wa Ghetto Radio Tanzania Bw. Rukaka.
Wakurugenzi wa Key Media nao walihudhuria sherehe hizo za uzinduzi wa studio ya Ghetto Radio Tanzania.
Katika
picha ya pamoja ni Balozi wa Ghetto radio Tanzania msanii wa mziki wa
Bongo Fleva Juma Nature na Violeth Okina wa kwanza kulia ambaye ni
Meneja Mauzo wa Ghetto Radio Tanzania katika sherehe hizo.
0 comments:
Post a Comment