Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu
changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo hasa
kwa wakulima wadogo wadogo, mkutano huo ulifanyika leo Novemba 23-2014
katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
Washiriki
wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na
fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, alipokuwa akifungua mkutano huo leo Novemba 23-2014 katika
ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa
17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika
suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo leo Novemba 23-2014
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Edwin Mtei nje ya ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha leo Novemba 23-2014 baada
ya kufungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu
changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa sekta ya
kilimo.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais -IKULU
0 comments:
Post a Comment