|
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao
kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu
wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na
Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim
Msengi. |
|
Naibu
waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia
wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa
kiikolojia wa mlima Kilimanjaro na Mlima Meru ambao utalinda milima yote
miwili. |
|
Makamau
mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Mazingira,Abdulkarim Shah akizungumza katika kikao hicho kimetokana na
wabunge wa mkoa wa Kilimanjaro kuomba kuanzishwa kwa mfuko wa kulinda
mlima Kilimanjaro. |
|
Baadhi
ya washiriki wa kikao hicho kilichofanyika katika Hotel ya Sal salnero
wakifuatilia michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa katika kikao hicho. |
|
Mbunge wa Jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema akichangia hoja katika kikao hicho. |
|
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akichangia katika uanzishwaji wa mfuko huo. |
|
Katibu wa Mbunge wa Moshi mjini,Basil Lema akichangia jambo katika kikao hicho akiwa amemwakilisha Mbunge Philemoni Ndesamburo. |
|
Baadhi ya washiriki katika kikao hicho. |
|
Kaimu
mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Moshi
Ibrahimu Msengi akichangia katika uanzishwaji wa mfuko wa kulinda mlima
Kilimanjaro na mlima Meru. |
|
Mkuu
wa wilaya ya Rombo Elinasi Palangyo akizungumza katika kikao
hicho,wilaya ya Rombo ni moja ya wilaya ambazo zinapakana na mlima
Kilimanjaro. |
|
Mkuu
wa wilaya ya Siha Dk ,Charles Mlingwa akizungumza katika kikao
hicho,wilaya ya Siha ni moja ya wilaya ambazo zinapakana na mlima
Kilimanjaro. |
|
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akizungumza katika kikao hicho,wilaya
ya Hai ni moja ya wilaya ambazo zinapakana na mlima Kilimanjaro. |
|
Mbunge
wa Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar,akiwa pamoja na Mbunge Suzan
Kiwanga na katibu wa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Basil Lema. |
|
Mkurugenzi
wa Wakala wa Misitu (TFS) Juma Mgoo akieleza namna ambavyo mfuko huo
utasaidia katika kuimarisha ulinzi wa rasilimali ya misitu. |
|
Mhifadhi mkuu wa hifadhi ya Arusha(ANAPA) Betrita Loibook akichangia katika kikao hicho. |
|
Mhifadhi ,idara ya ujirani mwema ,Theodora Batiho akichangia jambo katika kikao hicho. |
|
Washiriki wa kikao hicho wakifuatilia majadiliano. |
|
Waziri
wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akihitimisha kikao cha
majadiliano juu ya kuanzishwa kwa mfuko wa kulinda mlima Kilimanjaro na
Mlima Meru. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
0 comments:
Post a Comment