Mhariri
wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja
kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African
Journalist of the Year 2008" akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu
moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi
zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es
Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa
shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of
the Year 2014" itakayofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar
es Salaam Oktoba 18.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.
Sehemu
ya wanahabari waliohudhulia Semina hiyo wakifatilia mada zilizokuwa
zikiwasilishwa toka kwa baadhi ya wanahabari nguli barani Afrika
walioongoza semina hiyo.
Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba akiendelea kutoa somo kwa wanahabari.
Mhariri
wa Gazeti la City Press la nchini Afrika Kusini,Ferial Haffajee
akizungumza wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu
ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli
ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.
Mhariri wa
Baadhi ya Wanahabari wa Tanzania wakiuliza maswali kwa wahariri hao.
NA MICHUZI MATUKIO BLOG
0 comments:
Post a Comment