Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na ujumbe wa Kituo cha
Demokrasia Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya
mazungumzo nao Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia
Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya mazungumzo nao
Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia
Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya mazungumzo nao
Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kituo
cha Demokrasia Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya
mazungumzo nao Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana. Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment