Michuano ya UEROPA maarufu kama UEFA ndogo
ilichezwa usiku wa kuamkia hii leo ambapo Everton ya England hapo jana
ilialinza kwa kuisambaratisha Wolfsburg ya Ujeruman magoli 4 - 1.
Timu
ya Tottenham walikuwa wagen wa Partizan Belgrade ya Serbia ambazo
zitoka sare ya kutofungana huku Villarreal ikatoka sare ya bao 1-1 dhidi
ya Borussia Monchengladbach pia ni ya Ujeruman.
Nayo FC Red Bull Salsburg ya Austria ikaishia sare ya 2-2 dhidi ya Celtic.
Mchezo
mwingine ulikuwa ni kati ya Fiorentina ambayo ilibanjua Guingamp ya
Ufaransa kwa jumla ya 3-0, nayo Zurich ikapokea kipigo cha mabao 2-3
kutoka kwa Apollon Limassol ya Ugiriki
Matokeo mengine ni mechi ya
Brugge ya ubeligiji ilitoka sare ya bila kufungana dhidi ya Torino ya
Italia na Dynamo Kiev ikaifunga Rio Ave ya Ureno magori 3-0.
0 comments:
Post a Comment