Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasili
kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari
kwa kwenda kuhojiwa juu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama
hicho hivi katibuni,kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo.
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika
akizungumza na waandishi wa habari waliokuwepo kwenye eneo la makao
makuu ya Jeshi la Polisi,juu ya kile kilichokuwa kikiendelea kwenye
mahojiani katika ya Mwenyekiti wa Chama hicho na Jeshi la Polisi.Picha
na Othman Michuzi.
Makamu
Mwenyekiti wa Chadema,Prof. Abdallah Safari na Wakili wa Chama,Wakili
Mabele Marando wakiwasili kwenye Makao Makuu wa Jeshi la Polisi mapema
leo.
Baadhi
ya Wachama na Wafuasi wa Chadema wakishangilia wakati Mwenyekiti wao
akiwasili kwenye Makao Makuu ya Jeshi la Palisi leo.
Kamishna
wa Polisi,CP Paul Chagonja akitoa akiwataka wanachana na wafuasi wa
Chadema kuondoka kwenye eneo hilo kwani hakuna sababu ya kufanya fujo.
Ulinzi mlali katika eneo hilo.
Amri ikipita ya kuwataka wanachadema kuondoka eneo hilo.
Askari akiwataka wanachadema kuondoka.
Huyu alikuwa akikaidi amri ya Jeshi la Polisi ilibidi aondolewe kwa nguvu.
Ulinzi Mkali.
Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiondolea ndani la eneo la Makao Makuu wa Chadema.
0 comments:
Post a Comment