SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, August 4, 2014

WAKE WA VIONGOZI WAMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NYUMBANI KWAKE MSASANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda ambaye ni mlezi wa kikundi cha Wake waViongozi (NEW MELLENIUMWOMEN GROUP) akimsikiliza kwa makini Mama Maria Nyerere wakati wanachama wa walipo mtembelea Mama Nyerere nyumbani kwake kwa ajili yakumjulia hali pamoja na kumpatia zawadi mbalimbali kutokana na mchango wake mkubwa aliokuwa anampa Baba wa Taifa ambao ulisaidia kuleta amani utulivu na maendeleo ndani ya nnchi na nnje ya Tanzania.
  Mama Maria Nyerere na MamaTunu Pinda wakiangali picha zao walizo pigwa na Mama Othmani  kwenye simu ya kiganjani wakati kikundi cha wake wa viongozi(NEW MELLENIUMWOMEN GROUP) walipo mtembelea Mama Nyerere nyumbani kwake Msasani kumjulia hali.
 Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere walioketi kwenda katikati ni Mama Mama nyerere kushoto ni Mama Tunu Pinda Mama Regina Lowasa kwenda kulia ni Mama Kawawa akifuatiwa na Mama Sumaye. Picha na Chris Mfinanga

0 comments:

Post a Comment