
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi.
Teresa Murtland akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa
misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na
Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania,
Marekani.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB)
akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama
vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa
6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati)
akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000
International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye
ni mdau katika sekta ya maji aliyeshiriki katika hafla hiyo

0 comments:
Post a Comment