


Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonesha vivutio
vya kitalii wasanii nyota wa muziki na filamu wa Kimarekani walioko
nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao
ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye
televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu
na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya
Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za
Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner,
mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye
amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.



Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na wasanii nyota wa muziki
na filamu kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa
wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins), mwendeshaji
wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment, mwigizaji
wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli za
Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu,
Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace
Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa
shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.PICHA
NA IKULU.


0 comments:
Post a Comment