Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndugu Vuai Ali Vuai akimkaribisha
Mheshimiwa Filipe Nyusi Mgombea wa nafasi ya Urais kutoka chama cha
FRELIMO Msumbiji
Wanachama
wa FRELIMO wanaoishi Zanzibar wakimpokea Mgombea wa nafasi ya Urais
kupitia chama chao Mheshimiwa filipe Nyusi mara baada ya kuwasili
Zanzibar.
Mgombea
wa Urais wa Msumbiji kwat iketi ya chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe
Nyusi akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya
Zanzibar na Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani
Karume
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuonyesha Mgombea wa nafasi ya
Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha FRELIMO Mh. Filipe Nyusi
Kitabu cha Wageni ambacho kilisainiwa pia na Marehemu Samora Machel Rais
wa Kwanza wa Msumbiji kwenye Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimkaribisha Mgombea wa nafasi ya
Urais nchini Msumbiji kwa tiketi ya chama cha FRELIMO Mh. Filipe Nyusi
,Ikulu ya Zanzibara ambapo walifanya mazungumzo.
0 comments:
Post a Comment