Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa mwaka wa Taasisi ya
Segal Family uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto huko Arusha tarehe
10.7.2014.
Baadhi
ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family
wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto
Baadhi
ya washiriki kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Segal Family
wakisikiliza hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete kwenye ukumbi wa Ngurdoto
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na aliyekuwa Balozi wa Tanzania
nchini Marekani Mheshimiwa Mwanaidi Maajar ambaye ni Mjumbe wa mkutano
mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Segal ya nchini Marekani. Viongozi hao
walikutana huko Arusha katika hoteli ya Ngurdoto unakofanyika mkutano
huo ambao Mama Salma alialikwa kuuhutubia (keynote addres) tarehe
10.7.2014.
Mwanzilishi wa Taasisi ya Segal Family Bwana Barry Segal akimpongeza
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kutoa hotuba ya kusisimua
kwenye mkutano wa mwaka wa Taasisi hiyo. Picha na John Lukuwi
0 comments:
Post a Comment