Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana
mikono na Sheikh Mohd Khamis (aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Wilaya ya
Mjini, baada ya futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake
Mbweni.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akibadilishana mawazo na Makamu Mwenyekiti wa CUF, Juma Duni Haji,
wakati wa futari aliyowaandalia watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
Sheikh
Mohd Khamis akiongoza Sala ya Magharibi nyumbani kwa Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Mbweni Zanzibar.
Watendaji
wa CUF wakipata futari waliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, nyumbani kwake Mbweni.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiitikia
dua baada ya futari ya pamoja na watendaji wa CUF nyumbani kwake Mbweni.
Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na mawasiliano ya umma (CUF), Salim
Bimani. (Picha na Salmin Said, OMKR)
0 comments:
Post a Comment