SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 23, 2014

APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU




Baada ya madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa huyu mkazi wa Mwanza, aliyefumaniwa na kupigwa Shoka ya Kichwa akiwa na mke wa mtu, hatimaye wamefankiwa kuchomoa shoka hilo kichwani lakini hali yake bado mbaya akiwa katika chumba cha ICU kwa uangalizi zaidi. 
''Mke wa mtu sumu''.
Madaktari wakimpatia matibabu ili kuokoa maisha yake baada ya kulitoa shoka kichwani.
Baada ya kushonwa.

0 comments:

Post a Comment