SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, July 23, 2014

WAHANDISI TANESCO WAFUNDWA UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO

  Mafunzo hayo Meneja wa Kitengo cha Usalama Kazini ambao ndio waandaji Mhandisi Majige Mabulla akiwakaribisha washiriki na kuelezea namna ambavyo mafunzo hayo yataendeshwa kwa nadharia na vitendo.
Prof. Reuben Mwamakimbullah kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) akionesha kwa vitendo namna kuangalia maji kwenye nguzo kwa kutumia kifaa kinachoitwa ‘Electrical Resistance Metter’.
Kaimu Meneja wa Mkoa wa Iringa Mhandisi Seraphine  Lyimo akifungua mafunzo hayo  awamu ya pili.
Washiriki wakifuatilia mafunzo kwa umakini
Picha zote na Henry Kilasila.

0 comments:

Post a Comment