SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, June 9, 2014

WAZIRI MKUU MSTAAFU, DK. SALIM AHMED SALIM AHANI MSIBA WA LT. COL. MSTAAFU MAURICE NOEL SINGANO JIJINI DAR

???????? 
Marehemu Lt. Col. Mstaafu Maurice Noel Singano enzi ya uhai wake. ????????Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim akiwa na wafiwa alipokwenda kuhani msiba Mikocheni B jijini Dar.
????????Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu wakati wa kuuaga Mikocheni B jijini Dar. ????????Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. John Haule akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu wakati wa kuuaga Mikocheni B jijini Dar. ????????Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha siasa cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu wakati wa kuuaga Mikocheni B jijini Dar. ????????Dada za Marehemu wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu wakati wa kuuaga Mikocheni B jijini Dar. ????????Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Martha lililopo Mikocheni B jijini Dar, kwaajili ya misa kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwa mazishi. ????????Mjane wa Marehemu, Bi. Maria Singano akilia kwa uchungu wakati akiuaga mwili wa mpendwa  mume wake, nyumbani kwao katika eneo la Sahare mkoani Tanga. ????????Mtoto wa Marehemu, ambaye ni Mkuu wa Mahusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Bi. Beatrice Singano akilia kwa uchungu wakati akiuaga mwili wa mpendwa baba yake, nyumbani kwao katika eneo la Sahare mkoani Tanga. ????????Jeneza lenye mwili wa Marehemu, likiwa lemebebwa na askari wa JWTZ Kikosi cha 37, likitolewa nyumbani katika eneo la Sahare mkoani Tanga kwaajili ya kwenda kanisani na baadaye mazishi katika makaburi ya Bombo mkoani humo. Aliyeshika Msalana ni mototo wa Marehemu, Bw. Billy. ???????? Padri wa Kanisa Katoliki la Mt. Mathias mjini Tanga akifanya sala kwa marehemu ????????
Wanafamilia  ????????
Shughuli za mazishi zikiendelea. ????????
Shughuli za uwekaji wa mashada ya maua zikiendelea. SONY DSC
Askari wa JWTZ  37KJ wakifanya mazishi ya kijeshi, ikiwa ni pamoja na kupiga risasi kadhaa hewani.