Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe
akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya
ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani
(hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014
alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe.
Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo
hayo.
Mhe. Bernard Membe akiongelea swala la Raia pacha kulia ni naibu spika Job Ndungai akifuatilia mazangumuzo hayo.
Kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Rasi Idd Sandaly na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakifuatilia mazaungumuzo