Bondia Fransic Cheka (kulia) akipima uzito na mpinzani wake kutoka nchini Iran, Gavad Zohrehvand, jana mchana kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo, kwa ajili ya pambano lao la Kimataifa la kirafiki lisilo la Ubingwa litakalofanyika Leo kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa PST Emmanuel Mnundwa.
Saturday, April 12, 2014
MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA NA WAPINZANI WAO, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA LEO
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Saturday, April 12, 2014
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook



