Bondia Roy Mbunda wa Ruvuma akifanyiwa
vipimo na Dk Issa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya pambano litakalo
fanyika jioni ya leo katika ukumbi wa YMCA mjini
Moshi. |
Bondia Alibaba Ramadhani wa Kilimanjaro akifanyiwa vipimo na Dk Issa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya pambano litakalo fanyika jioni ya leo katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. |
Mwenyekiti wa chama cha ngumi mkoa wa Kilimanjaro Eliakunda Kipoko akizungumza na mabondia (hawapo pichani)mara baada ya kufanyiwa vipimo. |
Bondia Alibaba Ramadhan(shoto) na Roy Mbunda(kulia)wakiwa na promota Andrew George mara baada ya kufanyiwa vipimo. |
Mabondia wakiwa na Dokta Issa mara baada ya kumaliza kuwafanyia vipimo. |
Mabondia wakiwa na viongozi wa chama cha ngumi mkoa wa Kilimanjaro (KBA) ,Eliakunda Kipoko(Mwenyekiti) na Shambe Sagafu (katibu) Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, kanda ya kaskazini, |