SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, April 26, 2014

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAHAIRISHWA LEO (Ijumaa, April 25, 2014 ) MJINI DODOMA, KUPISHA BUNGE LA BAJETI

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Evod Mmanda akiwasilisha marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo, ili kupisha Bunge la Katiba kuanza kuunguruma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Christopher Ole Sendeka akikanusha taarifa potofu iliyotolewa leo Bunge mjini Dodoma na mjumbe mwenzie wakati wa mjadala wa kurekebisha kanuni za Bunge hilo.
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza mjadala wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya leo mjini Dodoma kabla ya Bunge hilo halihairishwa hadi Agosti mwaka huu.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ezekeil Oluoch akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Asha Bakari Makame akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Andrew Chenge akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Suleman Jaffo akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge la Katiba Mizengo Pinda (kushoto) na Mjumbe wa Bunge hilo Godfrey Zambi wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Evod Mmanda akiwasilisha marekebisho ya Kanuni za Bunge leo mjini  Dodoma kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
ajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Seif Khatib(kulia) na Mohamed Aboud Mohamed (kushoto) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuhairishwa mkutano hadi Agosti mwaka huu. Picha na Bunge Maalum la Katiba