SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, March 28, 2014

Yaliyojiri jana kwenye kikao cha Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma

PG4A4552
Mjumbe wa Bunge Maalum Mwigulu Mchemba akichangia Bungeni mjini Dodoma Machi 27, 2014. Picha  na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PG4A4582
Mjumbe wa Bunge Maalaum Moses Machari akichangia Bungeni.
PG4A4609
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jusa akilalamika Bungeni.
PG4A4635
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Halima Mdee akilalamika Bungeni Mjini Dodoma Machi 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)