
Wakati foleni ikizidi kupamba moto jijini Dar es salaamu waziri wa
Ujenzi, Dr. John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya Strabag
inayojenga Barabara ya Morogoro, kufungua barabara zilizokamilika ili
kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wanayokumbana nayo kila siku.
Pia Magufuli amemtaka mkurugenzi wa jiji kuhakikisha anabomoa
vibanda vilivyosalia katika stendi ya mabasi yaendayo mikoani Ubungo,
kana hawezi kuwaambia ambomoe mwenyewe mwenyewe.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati akitembelea Mradi wa
Barabara ya Mabasi yaendayo kasi (DART), inayoanzia Kivukoni hadi
Kimara na kueleza kuwa kama mkurugenzi huyo anang’ang’ania kutokuvunja
vibanda hivyo vinavyotumika kutoza ushuru kwa abiria, avunjike
yeye.(yaani magufuli)
CHANZO: BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment