Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye
uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya
kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa
chama hicho, Grace Tendega Mvanda, jana asubuhi.
Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika
uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Grace Tendega Mvanda, akizungumza kuomba kura
wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu
katika Kijiji cha Mfyome, jana asubuhi.
Mzee wa Mila wa
Kimasai katika Kijiji cha Mfyome, Lioper Ilmuduji, akimpatia baraka mgombea
ubunge wa CHADEMA katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Bi. Grace
Tendega Mvanda, wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyuma
kuomba kura kwa wananchi katika kijiji hicho jana asubuhi.
. Mgombea ubunge wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la
Kalenga, Bi. Grace Tendega Mvanda akishiriki chakula cha kimila pamoja na watu
wa jamii ya kimasai katika Kijiji cha Mfyome jana asubuhi baada ya msafara wa
mgombea huyo kufika kijijini hapo kufanya kampeni za nyumba kwa nyumba.Picha na Chadema
0 comments:
Post a Comment