Full time Mgambo 2-1 Yanga
91’ Kelvin Yondani anampiga kichwa mchezaji wa Mgamb
90(+4)’ Mgambo 2 Yanga 1
Fulltime 90(+2) Azam 2 Simba 1
85’ Azam 2 Simba 1
80’ Yanga wanapata kona ya 12. (2-12)
81’ Azam sub: Kipre Tchetche anatoka nafasi yake inachukuliwa na Brian Omony.
Mgambo wanachofanya ni kubutua tu kila mpira unaoenda langoni kwao.
Simba wanafanya mashambulizi ya nguvu langoni mwa Azam
72’ Azam 2 Simba 1.
65’ Mgambo 2 Yanga 1.
Mgambo JKT wanapata penalty
66’ Simba sub: Henry Joseph anatoka, anaingia Abdulhalim Humud
Dakika ya 65, anaingia Hussein Javu kuchukua nafasi ya Mrisho Ngasa
64’ Simba sub: Ramadhan Singano nje, Twaha Ibrahim anaingia.
Dakika ya 60, Mgambo JKT 1 - 1 Young Africans
60’ Azam 2 Simba 1.
Yanga wanasawazisha, Nadir Haroub Cannavaro anaisawazishia Yanga
Azam 2 Simba 1
Huko Tanga mashabiki wa mgambo wanarusha vitu uwanjani Kupinga penalti waliyopata Yanga
56’ Azam wanapata bao la piliKipindi cha pili kinaanza
Mpira ni mapumziko, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
49(+4)’ Mgambo 1 Yanga 0.
HT: Azam 1 Simba 1
Joseph Owino anaisawazishia Simba
44’ Kipa wa Azam Aishi Manula yupo chini baada ya kugongana na mshambuliaji wa Simba Hamis Tambwe.
44’ Azam 1 Simba 0.
43’ Mgambo 1 Yanga 0.
36’ Mbeya City 1 Tanzania Prisons 0.
Mchezaji wa Mgambo anaonyeshwa kadi Nyekundu
Mgambo 1 Yanga 0
Prisons 0 Mbeya City 0
Simba 0 Azam 1
Dakika ya 30, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
Mohamed Neto anatolewa nje baada ya kukutwa na hirizi ndani ya bukta
28’ Azam 1 Simba 0.
22’ Haruna Chanongo wa Simba anaoneshwa kadi ya njano.
20’ Mgambo JKT 1 Yanga 0
17’ Azam 1 Simba 0.
Hamis Mcha anaipatia Azam bao la kuongoza
15’ Saaaaalaaaale Ivo Mapunda anafanya kazi ya ziada kupangua shuti kaaaaaaaaaaaaaaaaaali. (0-0)
13’ Viungo wa Simba wanatawala dimba la kati
09’ Mbeya City 0 Prisons 0.
04’ Mgambo 1 Yanga 0.
Kipute kinaanza taifa Simba cs Azam
Mpira umeanza Mgambo vs Yanga.
Mgambo JKT vs Young Africans. Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. #LigiKuu
CHANZO: BOFYA HAPA