SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, February 2, 2014

SAFARI YA MWISHO YA KENNETH KIDAGO LYANGA


Mwili wa Marehemu ukibebwa kutoka Kanisani tayari kwa Safari.
Mke wa marehemu Akilia kwa Uchungu.
Mtoto wa Kwanza wa Marehemu Jesca Kidago (katikati) akitizama picha ya baba yake kwa Uchungu.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu EATV, Mama Mary Nnko akielekeza jambo kwa Ndugu wa Marehemu.
Wafanyakazi wa East Africa Radio Pamoja.

0 comments:

Post a Comment