Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya
kukalia katuka Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na
kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la
katiba baadaye mwezi huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za
majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na
kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la
katiba baadaye mwezi huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na wafanyakazi wa kampuni
ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini
Dodoma tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye
mwezi huu.Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment