
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba akiwaonyesha wajumbe wa
Kamati ya Bunge ya Miundombinu picha ya moja ya viatu vilivyokuwa na
dawa za kulevya vilivyokamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, jana. Viatu hivyo vilikuwa
vikisafirishwa kwenda Liberia. Picha na Venence Nestory




0 comments:
Post a Comment