SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, February 6, 2014

Kamati ya Bunge ya Ardhi maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Tarangire

Wajumbe wa kamati ya Ardhi ,maliasili na mazingira wakiwasili katika hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mkurugenzi mkuu wa hifadhi za taifa,TANAPA,Allan Kijazi akiteta jambo na mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira Mh James Lembeli kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati hiyo na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira ilipokutana na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mhifadhi mkuu hifadhi ya taifa ya Tarangire Stephano Qolli akitoa taarifa ya hifadhi hiyo kwa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira.
Wajumbe wa kamati ya ardhi,maliasili na mazingira wakifuatilia taarifa.
Mwenyekiti wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira ,Mh James Lembeli akizungumza wakati wa kikao cha kamati yake na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Mkurugenzi mkuu shirika la hifadhi ya taifa,TANAPA,Allan Kijazi akizungumza jambo wakati wa kikao cha kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira na watumishi wa hifadhi ya taifa ya Tarangire.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ardhi ,maliasili na mazingira walilazimika kubadilishiwa gari baada ya moja ya magari katika msafara wa kamati hiyo kupata hitilafu baada ya mrija wa mafuta kwa ajili ya Breki katika tairi ya mbele kupasuka. Na Dixon Busagaga a globu ya jamii,Moshi

0 comments:

Post a Comment