SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, January 6, 2014

TASWIRA ZA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA KIJIJINI MAGUNGA, IRINGA, LEO

 Kaimu Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo
 Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo
 Sehemu ya Wabunge waliohudhuria mazishi hayo leo
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiongea kwa niaba ya Serikali
 Sehemu ya Wabunge na Mawaziri waliokuwa katika mazishi hayo
 Kaimu Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya akiongea msibani hapo
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Anne Makinda akiongea
 Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yusuf Mzee akiongea katika mazishi hayo
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula akisema machache
 Waombolezaji wakiwa msibani hapo
 Sehemu ya wananchi wa Kalenga wakiwa msibani
 Vijana kwa wazee walifurika mazikono
 Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa mazikoni hapo
 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akiongea kwa niaba ya kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni
 Mwenyekiti wa CCM Iringa akiongea
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt  Servacius B. Likwelile akisoma wasifu wa marehemu
 Mbunge wa Namtumbo na Jirani ya marehemu Mhe Vita Kawawa akiweka shada la maua
 Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe Philemon Luhanji akiweka shada la maua
 Wakuu wa Wilaya mbalimbali wakiweka shada lao la maua
 Wazee Joseph Mungai na Mzee John Lamba wakiweka shada la maua kwa niaba ya Wazee wa Iringa
 Waombolezaji wakiweka shada lao la maua
 Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali wizara ya fedha wakiweka mashada yao
 Wakuu wa vyombo vya fedha wakiweka mashada yao
 Wakuu wa Vyombo vya fedha wakiweka mashada yao kaburini
 Manaibu Waziri wa Fedha Mhe Janeth Mbene (kulia) na Mhe Saada Mkuya wakiweka shada lao
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na maofisa waandamizi wa Benki Kuu wakiweka mashada yao
 Makamishna wa fedha wakiweka shada lao
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  Bw. Servacius B. Likwelile wakiweka shada lao
 Wabunge wa Iringa wakiweka shada lao
 Machifu wa Uringa wakiweka shada lao
 Wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge wakiweka shada lao
 Makamishna wa Bunge wakiweka shada lao
 Mawaziri Profesa Anna Tibaijuka na Dkt Mary Nagu wakiweka mashada
 Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula akiweka shada
 Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akiweka shada la maua
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda na Naibu wake Mhe Job Ndugai wakiweka shada lao la maua
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka shada la maua
 Msaidizi maalum wa marehemu akiweka shada la maua
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua
 Watoto wa marehemu wakiweka mashada yao ya maua
 Mama Mzazi wa marehemu akiweka shada ya maua
 Monsinyori Julian Kingalawe akiweka shada la maua
 Mjane wa marehemu akiweka shada la maua
 Machifu wakiweka udongo kaburini
 Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Katibu Mkuu wa CCM, Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
 Spika Anne makinda akiweka udongo kaburini
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula akiweka mchanga
 Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akiweka mchanga kaburini


 Rais Kikwete akitoa pole kwa wana kalenga
 Rais Kikwete akitoa mkono wa pole kwa Chifu
 Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu
 Poleni sana
 Heshima za mwisho
 Rais Kikwete akimfariji Godfrey Mgimwa
 Rais Kikwete akimfariji mama mzazi wa marehemu

Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua
NA MICHUZI MATUKIO BLOG

0 comments:

Post a Comment