SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 15, 2014

Rais mstaafu Alhaji Ally Hassani Mwinyi amewataka Waislamu na wasiyokuwa waislamu kuhubiri amani nchini


Rais mstaafu Al-hadji -Ally Hassani Mwinyi amewataka Waislamu na wasiyokuwa waislamu kuhubiri amani nchini huku baraza kuu la Waislamu Tanzania-Bakwata wakipongeza mchakato wa rasimu ya katiba ulipofikia.

0 comments:

Post a Comment