SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 15, 2014

Rais Jakaya Kikwete Aagana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa IKULU Jijini Dar es Salaam.

  Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System)Bwana Alberic Kacou ika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya kumkabidhi Rais  Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini
Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini.
Picha na Freddy Maro-IKULU

0 comments:

Post a Comment