SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, January 15, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE WAJULIA HALI MZEE MSUYA NA WAZIRI WA ZANZIBAR WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali, Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa David Msuya katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi Zanzibar, Haruna Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo, Jan 15, 2014.

0 comments:

Post a Comment