SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, December 20, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATUNUKU SHAHADA ZA UZAMILI WAHITIMU KATIKA TAASISI YA NELSON MANDELA ARUSHA

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar  Mama Asha Seif wakiangalia Bidhaa za Wanawake Wajasiriamali wa Mkoa wa Kusini Pemba alipotembelea vikundi hivyo na kutowa mchango wao kwa Vikundi hivyo katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fiedel Castro.
  MKE wa Rais wa Zanzibarb na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiangalia Bidhaa za Kikundi cha Wajasiriamali cha Nia Safi Iwpo Saccos, akiwa na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha  Seif na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Mama Wu Yan.
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiangalia bidhaa za Kikundi cha Uwama Ngombeni cha Mkoani Pemba akiangalia bidhaa za sabuni ya chokaa
 
 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi kiongozi wa kikundi cha Wanawake cha Hatugombani, Biharusi Khamis.
 MKE wa Rais wa Zanzibarb na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akizungumza bidhaa za vikundi vya Wajasiriamali
 MKE wa Rais wa Zanzibarb na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiangalia Bidhaa za Kikundi cha Wajasiriamali

0 comments:

Post a Comment