SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, December 3, 2013

MADAKTARI WA CHINA WAZINDUA HUDUMA MPYA (ENDOSCOPE) HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

 Daktari Wang Lei akiangali sehemu ya ndani ya tumbo la mfanyakazi wa Hospitali ya Mnazimmoja kwa kutumia mashine ya (Endoscope) ambayo imeanza kufanyiwa marajabio rasmi katika Hospitali hiyo. Kushoto ni muuguzi Halima Habib Abdalla anaefuatilia kwa karibu majario ya mashine hiyo.
Daktari bingwa kutoka China Sun Kewen akimfanyia uchunguzi wa maradhi  ya tumbo na koo mgonjwa mmoja  kwa kutumia mashine ya kisasa (Endoscope) iliyofayiwa majaribio katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja leo.
 Dkt. Sun Kewen na Dkt Wang Lei wakionyeshana Lei matokeo ya uchunguzi wa mgonjwa Halima Habib aliefanyiwa uchunguzi wa tumbo kwa kutumia mashine ya (Endoscope).
Dk. Wang Lei akitoa maelezo ya namna mashine ya (Endoscope) inavyofanyakazi na kutoa matokeo ya uhakika matatizo ya mgonjwa kwa muda mfupi.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar

0 comments:

Post a Comment