Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais - MAZINGIRA,Dkt. Teresia Huviza akizungumza machache wakati alipokuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Dawati ni Elimu iliyoandaliwa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa katika Ukumbi wa Kibo,Hoteli ya Hyatt Recency jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Malengo ya Kampeni hiyo ni kukusanya fedha kiasi cha zaidi ya Sh. Bil. 4.
Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa ambaye ndio Mratibu wa Kampeni ya Dawati ni Elimu akitoka hotuba yake wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kibo,Hoteli ya Hyatt Recency jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Muendeshaji wa Hafla hiyo,Irene Kiwia akiweka mambo sawa.
Wageni mbali mbali waliohudhulia hafla hiyo wakifatilia hotuba ya mgeni rasmi.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais - MAZINGIRA,Dkt. Teresia Huviza akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake,ambaye ni Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa.
Furaha ya pamoja.
Wadau mbali mbali wakibadirishana mawazo kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.
Warembo wa Miss Tanzania pia walikuwepo.
NA ANKAL MICHUZI
0 comments:
Post a Comment