Baadhi ya wananchi walioalikwa katika hafla ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi,wakisoma majarida yaliyotolewa katika maadhimisho hayo yaliyofanyika Paje Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wananchi wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya Kusini Unguja,wakiwa katika hafla ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani ambapo kwa mwaka,ambapo kwa mwaka huu Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja,yamefanyika Maadhimisho hayo na mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Kijiji cha
Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Vijana wa Zapha+ ni Watu wanaoishi na Virusi vinavyosababisha Ukumwi, wakifanya igozo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) pamoja na Wananchi waliohudhuria katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa
wa Kusini Unguja
Bibi Fauziat Ismail Aboud, kutoka Shirika la PSI Tanzania,akisoma risala wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kushoto),kuzungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipokuwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji, na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,Dk.Idrisa Muslim Hija,(kulia)
Wasoma Utenzi kutoka Makunduchi,Asia Bukheti,(kulia) na Amina haji Simai,wakitoa burudani hiyo leo wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiiangalia picha yake wakati alipokuwa Meneja wa Mradi wa Kitengo cha Ukimwi kutoka Nov 1997- Julai 1998, wakati wa maonesho katika banda la kitengo cha Ukimwi,cha Wizara ya Afya,wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini
Unguja,(kulia) ni Dk.Ahmed Khatib,Kitengo cha Ukimwi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiiangalia vifaa mbali mbali wakati alipotembelea banda la kitengo cha Ukimwi la Wizara ya Afya,wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,(kulia) ni Dk.Ahmed Mohamed Khatib,Meneja Kitengo cha Ukimwi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Dk.Farhat Khalid,kitengo cha Ukimwi,wakati alipotembelea maonesho katika banda la kitengo cha Ukimwi la Wizara ya Afya,wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyoafnyika leo katika Kijiji cha Paje,Wilaya ya
Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja,(katikati) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na jumuiya ya Zayedesa,wakati alipotembelea mabanda mbali mbali ya maonesho yanayojishuhulisha na kutoa elimu ya Ukimwi wakati wa Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani,Kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika leo katika Kijiji cha Paje, Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja.
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
0 comments:
Post a Comment