Watu kumi ambao wanatuhumiwa kumuua Dk. Sengondo Mvungi ambaye alikuwa
mjumbe wa tume ya kuratibu maoni ya katiba wamefikishwa katika mahakama
ya hakimu mkazi Kisutu jinini Dar es Salaam na kusomewa shtaka la kuua.
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
24 SEVEN 365 "HARAKATI HAZIKOMI"
0 comments:
Post a Comment