Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, aliyesisitiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kuandika miradi ambayo yatalenga kupata haki na kuinua ubora wa maisha ya watoto nchini.
Kupata taarifa zaidihttp://reachforchange.org/tanzania/




0 comments:
Post a Comment