Bw. harusi, Donald
Massawe akiwa na mke wake Neema Mongi mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa
la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis
Dande)
Bw. harusi, Donald
Massawe akiwa na mke wake Neema Mongi mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa
la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Donald na mkewe
Neema.
Wanameremeta.
Neema akishiriki
chakula cha bwana.
Donalda akishirika
chakula cha bwana.
Donald akiwa katika
pozi.
Neema akiwa katika
pozi.
Donald akiwesa saini
katika cheti cha ndoa.
Neema akiweka saini
cheti
Juu na chini wapambe
wakisaini.
Neema akipokea cheti
cha ndoa.
Neema akionesha cheti
chake cha ndoa.
Ndugu jamaa na
marafiki wakiwa na furaha.
safari ya kuelekea
ukumbini Sunset Hall, Mbezi Beach ilianza.
Maharusi wakitoka
kanisani.
Picha ya pamoja na
wapambe.
Maharusi wakiwa na
furaha baada ya kufunga ndoa.
Mapoziii.
0 comments:
Post a Comment