Timu ya Ashanti United ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya Mpira kuanza
Picha ya pamoja na waamuzi
Wakisalimiana Kabla ya Mechi kuanza
Hatari pale ... Kila mmoja anakimbilia mpira pale
Mpira unaendelea
Na mpira umekwisha
Wakisalimiana baada ya Mpira kwisha
Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Baada ya mpira kumalizika
Ashati United pamoja na Mbeya City Fc wakiwa wanaondoka Mara baada ya Mpira Kumalizika
Ulinzi ukiwa makini kabisa kama inavyo onekana ...
Picha zote na Mbeya yetu
0 comments:
Post a Comment