Aliyekuwa mfanyakazi
wa Benki ya
Barclays, Alpha Alfred Newa aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Gabriel
Munisi Novemba 19 Ilala Bungoni amezikwa leo katika shamba la familia huko Goba
jijini Dar es Salaam.
(Picha na Francis Dande)
Baba mzazi wa Francis
Shumila (katikati), Shumila ambaye alikuwa shemeji yake Alpha aliuawawa katika
shambulio hilo. Kushoto ni mama yake marehemu Francis
Shumila.
Baadhi ya ndugu na jama
wakipata chakula kabla ya kuanza zoezi la kuaga mwili.
Ndugu wa marehemu Alpha
Newa.
Waombolezaji wakiaga mwili
wa marehemu, Alpha Afred Newa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria
Mbezi Beach.
Dada wa marehemu Alpha
Newa, Christina Newa 'Nando' (katikati) akipata msaada kutoka kwa ndugu baada ya
mwili wa mdogo wake kuwasili nyumbani.
Baadhi ya ndugu na
wafanyakazi wa NSSF wakimfariji Carloyne Newa ambaye ni dada wa marehemu Alpha
.
Mwili wa Alpha ukishushwa
kaburini wakati wa mazishi yake.
Mwili ukishushwa
kaburini.
Wanafamilia weke weka
udogo katika kaburi la Alpha kama ishara ya kumuaga.
Padri akiwa na mama mzazi
wa Alpha.
Padri wa Kanisa Katoliki
Parokia ya Bikira Maria Mbezi Beach akiweka shada la maua.
Mama wa marehemu, Ellen
Newa akiweka shada la maua.
Joseph John ambaye ni mume
wa marehemu Alpha Newa akiweka shada la maua.
Mtoto wa marwehemu, Ellen
Alpha Alfred Newa akiweka shada la maua.
Christina Newa
akisindikizwa kuweka shada la maua.
Ellen ambaye ni mtoto wa
marehemu akiwa mbele ya kaburi la mama yake marehemu Alpha.
Ellen akiwa na baba
yake.
Joseph John akiwa na
watoto wa marehemu, Olga ambaye ana umri wa miaka 4 (kushoto) na Elvis (6) kulia
na dada yao Hellen.
Wafanyakazi wa NSSF
wakimfariji mfanyakazi mwezao, Carloyne Newa baada ya kufiwa na mdogo wake Alpha
Newa.
Dada wa marehemu, Carloyne
Newa akiwasha mshumaa katika kaburi la Alpha.
Kaka wa marehemu, Mloyi
Newa akitoa wasifu wa marehemu pamoja na kuwashukuru wote walofanikisha mazishi
ya marehemu Alpha Newa.
Mtoto wa marehemu, akiimba
utenzi baada ya mazishi ya mama yake.
Meneja Kiongozi, Uhusiano, Huduma kwa Wateja wa
NSSF, Eunice Chiume (kushoto), akiwa na
Ofisa wa NSSF, Devota wakati wa mazishi ya Alpha Newa.
Familia ya marehemu Alpha
Newa.
Mume wa marehemu, Joseph
John akiwa mtoto wake Ellen.
Baadhi ya marafiki kutoka
Zanzibar na maeneo mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kaburi la
Alpha Newa baada ya mazishi yake.
NA ANKAL MICHUZI
0 comments:
Post a Comment