Wafanyakazi
wa Tulizana wakiwaamasisha wananchi waliofika kwenye viwanja vya
Leaders Clubs kupima Virus vya Ukimwi na pia kutoa elimu ya maambukizi
ya Virus hivyo
Mmoja
wa wafanyakazi akimweleza jambo kwa umakini kijana aliyekuja kupima
ili aweze kutoka kwenye mtandao wa ngono kwenye viwanja vya Leaders Club
Mmoja wa wananchi waliochangia damu kwenye tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" kwenye viwanja vya Leades Clubs jana mchana
Mfanyakazi wa Tulizana akitoa elimu kuhusu matumiza ya Kondom aina ya Dume kwa vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana"
Baadhi
ya wafanyakazi wakiwa wamepumzika baada ya kazi ngumu ya kuelimisha
jamii juu ya kuachana na mtandao wa mapenzi ambao unaweza kusababisha
maambukizi ya vurus vya UKUMWI wakati wa Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Mfanyakazi wa Tulizana akitoa elimu kuhusu matumiza ya Kondom aina ya Salama kwa vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Mfanyakazi
wa Tulizana akitoa jinsi gani wataondoa mtandao wa kuwa na wapenzi
wengi elimu kwa vijana waliofika kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Vijana
wakisikiliza kwa umakini elimu wanayoipata juu ya maambukizo ya Ukimwi
na hasa katika utumiaji wa mipira wakati wa mapenzi waliofika kwenye
Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club
Vijana wakisikiliza kwa umakini elimu wanayoipata juu ya maambukizo ya
Ukimwi na hasa katika kuondoa mtandao wa kuwa na wapenzi wengi
kwenye Tamasha la "Tuko wangapi? Tulizana" lililofanyika kwenye viwanja
vya Leaders Club
KWA HABARI ZAIDI NA PICHA BOFYA HAPO CHINI:
PICHA ZOTE NA PAMOJAPURE /PAMOJA BLOG
0 comments:
Post a Comment