Treni la harusi likiingia katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma
Farida na Paul wakiwa wanasubiri muda wao wa kulishana viapo
Mimi...Farida Hussein Muyinga namchukua Paul Herman Kirigini kama mume wangu.....
Mimi....Paul
Herman Kirigini...naapa kwamba nitampenda nitamtunza na nitamuenz
Farida Hussein Muyiga kama mke wangu wa ndoa, Eeeee Mwenyezi Mungu
Nisaidie
Paul akila kiapo
Farida akila kiapo
Pete hii iwe....
Nakuvish pete hii...
Mmmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaaa!
Si mnaona?? Imetoka hiyoooo....!
Paul akisaini hati ya ndoa
Farida akimwaga wino
Sasa tumekuwa mwili mmoja....
Hongera kwa maharusi toka kwa mdau Deo Mwanyika
Furaha na vigeregere
Haooo wanaondoka na kaLimo kao
Ujumbe umefika
Pozi ndani ya Sea Cliff Hotel
Maharusi na wapambe wao
Bi Harusi na wapambe wake
Paul na wapambe
Bi harusi na wapambe
Totooooooo.....
Maharusi na wazaa chema
Ukumbi ulipambwa na kupambika
Viti vinaulizana...Ah, mbona hawaji jamani....
Jukwaa kuu
Bonge moja la keki
Spray kwa maharusi
Haya na mnuso na uanze
Baadhi ya waalikwa
Msahau kwao mtumwa....
Dansi la kwanza
Champeni
Chiaaaaazzzzzzzzzzzzzzz....
Keki tyme
Duh! Bonge lote hilo mshikaji....
Haya na wewe basi
Mmmmmmmwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaaa........
Wazaa chema pokeeni keki hii
Asante baba kwa heshima uliyonipa
Haya, Mwenyekiti wa kamati yuko wapi
Kwa niaba ya kamati pokea keki hii ikiwa kama shukrani yetu kwenu kwa kufanikisha harusi hii
Suprise cake: Kumbe leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa Paul....
Keki kwa ajili ya Paul
Hepi Besdei Mume wanguu...
Kamati ndogo lakini imefanya makubwa
CHANZO: MICHUZI MATUKIO
0 comments:
Post a Comment