Wageni
wakiwa kwenye foleni ya kupata chai ya Tanzania na vitafunio kama vile
Vitumbua, maandazi na kadhalika na wengine wakijionea nguo na vitabu vya
kiswahili.
Wageni
wakiendeea kujionea, kula na kusikiliza vivutio vingine vilivyopo
Tanzania kwa Walimu wa darasa la kiswahili DMV wakijaribu kuwaelezea
uzuri wa Tanzania na vivutio vyake.
Walimu wa darasa la kiswahili wakiwaelezea wageni waliotembelea banda la Tanzania upikaji wa vitafunio walivyoleta.
Mmoja ya mgeni aliyetokea Virginia akipata chai na kitumbua huku akisifia utamu wake.
Walimu wa darasa la kiswahili katika picha ya pamoja.
Watoto wa darasa la kiswahili wakiimba baadhi ya nyimbo za Tanzania
Mgeni akipata maelekezo ya vitabu vya kiswahili huku akiwa na kibakuli cha maandazi.
Banda la Tanzania katika picha ya pamoja.
Mzee Safari (kulia) akimuelezea moja na mgeni kuhusu kitabu chake cha "Nyayo za Obama" alichatunga kwa Kiswahili
CHANZO: matukio-michuzi
CHANZO: matukio-michuzi
0 comments:
Post a Comment