SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Sunday, October 20, 2013

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Ujumbe Wake Wawasili Shenzhen Wakitokea Beijing Akiwa Katika Ziara ya Kikazi nchini China

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo.

Baadhi ya watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment