Bwana
Harusi Vicent Mnyanyika na Mkewe Tatu Abdi wakipiga picha ya ukumbusho
mara baada ya kumeremeta katika Parokia ya Mtakatifu Maria ya Kimara,
jijini Dar es Salaam
Picha na wazazi wa maharusi
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria Kimara akiwaongoza maharusi kuweka maagano ya ndoa yao takatifu Kanisani"
Bibi harusi Tatu Abdi akiweka saini kwenye cheti cha ndoa huku mumewe Vicent Mnyanyika akishuhudia pembeni.
MC
PC Makame akiwaongoza maharusi katika tendo la keki ukumbini katika
hafla kabambe iliyofanyika katika Ukumbi wa Grand Hall Piccolo Beach
Hotel Agosti 31, 2013.
Bi. Tatu Abdi katika picha na mpambe wake.
Maharusi wakikabidhiwa vyeti vyao kanisani.
Maharusi wakivionesha vyeti vya ndoa kwa mashuhuda mara baada ya kufunga ndoa.
Maharusi
wakiwapungia mikono wageni waalikwa kwa ishara ya kuwaaga mara baada ya
kumalizika kwa mnuso huo wa nguvu uliofanyika katika Ukumbi wa Grand
Hall Piccolo Beach Hotel.
CHANZO: MICHUZI MATUKIO
0 comments:
Post a Comment